Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Hiyo dawa inasababisha kisukari? Tuna family history of diabetesMwambie aachane na hiyo dawa mara moja.. Badala yake anywe maziwa kwa wingi (angalau lita kwa cku) na vidonge vya Vitamin B complex viwili kwa cku.. So far mpelekeni akapimwe kisukari.
Vijana hawa wana mambo mengi. Ni common stuff kama kutokupita kwenye interview, kuwa jobless, kuachwa yani chochote negative kinachomtokea kinamfanya awe very emotional. Anashindwa kuhimili mikiki ya maisha. Natamani nimsaidie. Najaribu kumweleza kua tunampenda na bado tunamuhitaji pamoja nasi kidogo anakuja kuja lakini bado anaonekana hayupo sawa.
Mtafutie mwanaume amkazeVijana hawa wana mambo mengi. Ni common stuff kama kutokupita kwenye interview, kuwa jobless, kuachwa yani chochote negative kinachomtokea kinamfanya awe very emotional. Anashindwa kuhimili mikiki ya maisha. Natamani nimsaidie. Najaribu kumweleza kua tunampenda na bado tunamuhitaji pamoja nasi kidogo anakuja kuja lakini bado anaonekana hayupo sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
No.. Hiyo depression inaweza kuwa inasababishwa na kisukari.. Wakimpata nacho awe anatumia na Metformin.
AhsanteMkuu pole sana kwa kuuguza,nilipatwa na hiyo hali bahati sikuwa na mtu wa kunifariji sababu ya usiri wangu,nilibakiza kidogo nijurushe toka ghorofani nilipokuwa muhimbili Hosp. Lakini ujasiri ulinijaa tena,nini kiliniponya,? Nilitumia Hosp.medicine bila mafanikio nikaja saidiwa na mitishamba ,nilitumia mlonge kutwa Mara tatu kwa mwezi,na sasa Niko ngangali sana
Hebu jaribu kutumia hiyo mlonge kijiko kimoja cha chain kutwa Mara tatu kwa mwezi mmoja huenda akapona kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Buku 7 ilisaidia kulipa gharama?Mkuu pole sana kwa kuuguza,nilipatwa na hiyo hali bahati sikuwa na mtu wa kunifariji sababu ya usiri wangu,nilibakiza kidogo nijurushe toka ghorofani nilipokuwa muhimbili Hosp. Lakini ujasiri ulinijaa tena,nini kiliniponya,? Nilitumia Hosp.medicine bila mafanikio nikaja saidiwa na mitishamba ,nilitumia mlonge kutwa Mara tatu kwa mwezi,na sasa Niko ngangali sana
Hebu jaribu kutumia hiyo mlonge kijiko kimoja cha chain kutwa Mara tatu kwa mwezi mmoja huenda akapona kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleHello JF, nina mdogo wangu mwenye umri 20+ anasumbuliwa na depression & suicidal thoughts karibu mwaka sasa. Tulimpeleka kwa therapist, anafanyiwa therapy lakini pia aliandikiwa dawa aina ya Amytripilineam awe anakunywa mara moja kwa siku (usiku).
Lakini sasa naona kama hali yake inazidi kuwa mbaya, anakuwa very emotional kitu kidogo kinamliza sana plus suicidal thoughts zimeongezeka, kuna siku alibugia vidonge 20 vya Amytripilineam tukampeleka hospitali. Ukimuuliza kwanini anameza zote anajibu eti amechoka anataka kulala.
Je inawezekana hizi dawa hazimsaidii au ndo zina side effects? Je kuna dawa mbadala na hizi?
Naombeni msaada wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app