Sasahivi hali ya hewa sio nzuri leo hosp nimekutana na watu wengi wana utangotango
Dawa wanasemaga mafuta ya break ila ni vizuri ukaenda hosp ukaonana na dr wa magonjwa ya ngozi kwa tiba na ushauri sahihi
Au nenda phamarcy waone sehem husika watakuandikia dawa za kutumia