Nianze kwakuonesha masikitiko yangu kwa kizazi hiki cha sasa cha wasomi uchwara,na viongozi wao uchwara,pamoja na matatizo makubwa ya wanafunzi kukosa mikopo majamaa yamekaaa kimya bila hata kuona aibu nini kazi yenu kama wawakilishi wa wanafunzi? Chuo kikuu sio sehem ya kusema ndio mzee kwa kila jambo,haiwezekani watoto wa maskini wenzenu wananyanyaswa na serikali nyinyi mmmekaa tu,bora mjiondoe ktk madaraka mliyopewa mnakera sana,Eti Daruso ya Leo imekuwa kama jibwa koko,haina lolote,kwakweli mmnakera sana,wanafunzi wenzenu wanaangaika nyinyi mmekalia kupewa kuponi za kula cafeteria Aiiiibu hata nyinyi?????? Teteeni masikini wenzenu