Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 782
Umesema Kweli Mkuu tuwauzie Umeme,Hahaha raha kua na majirani wenye amani, multi billion deals kama hizi it's just normal.
Back to the topic, Tanzania hatutakiwi kuipa Malawi gas, tunatakiwa tuwauzie umeme najua Tanzania mpaka 2020 tutakuwa na umeme wa kuwasha nchi za Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia na Mozambique sasa hakuna haja ya kuwapa Malawi gas wakazalishe umeme wao we must add value and reaping big cash, sell megawatts to Malawi
Ni Songwe river Valley ambazo hizo megawatts 180 zikizalishwa bado hazitaisaidia Malawi sana sababu watapata megawatts 90 which is so minimal amount compared with their deficit gap, wanahitaji at least 500 megawatts kuwa sustainable some how, wakati huo hiyo dam inakamilika tayari sisi huku stiegliers itakua tayari na kinyerezi phases nyingi zitakua tayari.Umesema Kweli Mkuu tuwauzie Umeme,
Ila Hata kama ni Gas wataipataje?
Hawawezi kuweka Bomba from Mtwara To Malawi its highly costful,
Labda Huo umeme wa Kuwauzia Tungewauzia Baada ya Stigliers gorge kumalizika na Kuzalisha 2100MW!
Kabla ya Huo mradi sioni wapi Malawi anaweza pata Umeme wa Haraka na Uhakika!
Au labda Songwe nasikia kuna Kama 180MW zinataka kujengwa kwa kutumia Coal!
Yeah That's True mkuu....Ni Songwe river Valley ambazo hizo megawatts 180 zikizalishwa bado hazitaisaidia Malawi sana sababu watapata megawatts 90 which is so minimal amount compared with their deficit gap, wanahitaji at least 500 megawatts kuwa sustainable some how, wakati huo hiyo dam inakamilika tayari sisi huku stiegliers itakua tayari na kinyerezi phases nyingi zitakua tayari.
Hapo tunaweza kuwauzia huo mgao wetu wa megawatts 90 wazichukue zote 180 na bado zisiwatoshe.
Kwa kifupi Tanzania itanufaika sana kuuza umeme nje tukikaa vizuri.
Tunàtaka muone kwamba we don't need you sana.habari njema lakini sioni sababu kuu ya kuletwa kwa Kenyan Section
vizuri.Tunàtaka muone kwamba we don't need you sana.
Mko desperate sana,Tunàtaka muone kwamba we don't need you sana.
Dar holds consultation over joint energy projects with Malawi
Orange
Feb 15, 2018 8:48 AM
THE Minister for Energy, Dr Medard Kalemani (pictured) last Monday held talks with two ministers from Malawi, aimed at exploring possibility of natural gas exports to Malawi as well as joint development of the Songwe River valley, notably in its immense power production potential.
Malawi Minister for Energy Aggrey Masi said that his country was facing serious power supply, revealing it could generate a mere 140MW, hardly sufficient to meet local needs. “The situation is bad … we need an immediate solution … and we hope that Tanzania could help us address the situation,” noted the minister.
Mr Masi affirmed that the country’s waterfalls were the only source of power production, but even that had been severely curtailed with adverse climate change effects.
According to Mr Masi, Malawi government had now decided to seek alternative power sources, including natural gas, although even that was a scarce resource internally, making joint efforts with neighbouring Tanzania its best next course of action. An investor in natural gas had since been identified, the minister says, with plans to install power plants at Kalonga along the common border with Tanzania.
On his side, Dr Kalemani said the matter would be discussed ‘with keen interest’ after Tanzania’s own experts ‘satisfy themselves’ over feasibility of such investment. He insisted that before getting into such discussions, the experts should take account of the country’s own natural gas resources currently available; energy policy requirements, and how the resources could be transported to Kalonga.
Dr Kalemani therefore advised the Malawian delegation to put their plan into written documents as well as officially writing the request and present it through Tanzanian government procedures, for further discussions between the two governments.
Coming to Songwe issue, the two parties agreed that the valley’s operating commission whose members are from both countries should give information which will direct how the power could be jointly produced.
It was further noted that the projects to be run in the valley are energy power-dam construction with 180 MW, to be equally distributed; irrigation farming to 6,200 hectares, water supply to citizens as well as infrastructure development, mostly roads, schools, and health centers
Report a problem
US firm ranks Kenya as 'failed state' despite peaceful pollvizuri.
pambaneni huko huko ldc ili muweze kutoka kwa pamoja
Kauli za kichochezi kama hii hazipendezi. Haswa ikizingatiwa Kenya ni mshirika wetu katika EAC na ukweli kwamba ni vigumu kuiepuka ikiwa kweli tumepania kufanya maendeleo.Tunàtaka muone kwamba we don't need you sana.
US firm ranks Kenya as 'failed state' despite peaceful pollMko desperate sana,
Hii news peleka sections zenu.
pambaneni na ldc wenzenu kila malawi.
Na nyinyi leta zenu positive budaHawa watu kila positive news wao huleta hapa lakini zile mbaya hutaona wakicomment.
jana wameua mwanasiasa wa chadema lakini wamenyamaza zii
Kama mnajua ni mshirika, CoW ilikuwa ya nini?ebu sema TZ itapoteza nn kutoka Kenya ikiwa tutawapuuza?Kauli za kichochezi kama hii hazipendezi. Haswa ikizingatiwa Kenya ni mshirika wetu katika EAC na ukweli kwamba ni vigumu kuiepuka ikiwa kweli tumepania kufanya maendeleo.