Dar es salaam wapi ntapata spy camera kwa boa?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Wakuu ntapata wapi spy camera kwa dar?
 
Kuna Mkuu humu jukwaani anauza. Ngoja nikutafutie uzi wake.
 
we jamaa unahangaika sana ulishaweka uzi hapa unataka camera hujapata unataka ufumanie au unafanya ujasusi
Kwani mkuu si ukae kimya kama hujui zinakopatika?
Bado sijapara ndo maana naendelea kutafuta
 
Kuna Mkuu humu jukwaani anauza. Ngoja nikutafutie uzi wake.
Ntashukuru sana ila nyuzi nyingi za huku ni za kitambo sana wengi walishaachana na hiyo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…