Dar bila Makonda imepoa sana. Jamaa alikuwa anachangamsha mji

Dah wabongo shida sana nyie wenyewe mlitaka apigwe chini sasa hivi mnamlilia tena arudi dah
 
Unataka habari zisizo na utekelezaji zinakusaidia nini, Mkuu mpya anajipanga hakirupuki.
Alikuwepo Makamba alikuwa na mbwembwe sana tu kama Makonda lakini hakufanya la maana
 
Akili ya Makonda na matendo yake Ni Kama wale wanawake wavaa Madera wa Temeke na Mbagala. Ndio maana alikutana nao kutatua matatizo yao ya kuzaa na waume za watu.
 
Bashite Bashite Bashite...
Hujaona tetemeko aliloleta RC mpya wa Dar??
Katembeza tetemeko mpaka Kenya..

Mji umepoa kwa mambo ya kijinga..
Sasa hivi watu wapo serious na mambo ya msingi..

Everyday is Saturday...........................
 

Wakati mikusanyiko imezuiwa yeye kakusanya maelfu akawaeleza wasikusanyike ana balaa sana jamaa
 


Hicho ulichokuwa unakiona ni moja ya sifa ya mtu asiyejua majukumu yake precisely, yaani kila akiamka anatafuta kitu cha ku make headlines....
 
Niache kuchangamshwa na pisi kali na vinywaji murua nichangamshwe na r.i.p
 

Kawaida ya makondakta wa daladala huwa wanapiga sana kelele. Sasa huyo Makonda alikuwa hana tofauti sana na hao makondakta.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…