Mkuu Oleni pole sana kwa hayo matatizo ya mdogo hujasema ulimpeleka Hospitali gani?ningelikushauri umpeleke Hospitali ya Taifa ya muhimbili wakampime tena kwa vipimo vyote na ikiwezekana apimwe na damu ndio itamuonyesha ana maradhi gani? Ikishindikana hapo rudi tena utupe Feedback tutajuwa ni ni cha kufanya.
Jaribu kwenda moja kwa moja muhimbili wanaweza kukusaidia Oleninashukuru mkuu mimi nilimpeleka Mwananyamala, ila kuingia muhimbili naona ni mpaka uwe na barua kutoka hospitali hucka au kuna uwezekano mwingne