Karibu sana
Lakini kutoa ute puani kwa ng'ombe ndo inadhihiriaha ana afya si ndio---
ππ ELIMU KWA WAFUGAJI
Dalili za Nguruwe Anayeumwa
---
π Unajuaje kama nguruwe anaumwa?
Fuatilia dalili zifuatazo mara kwa mara:
1. π½οΈ Kukosa hamu ya kula
2. π΄ Kulala sana au kupoteza nguvu
3. π Kutoa sauti ya kuugulia au isiyo ya kawaida
4. π€ Kupumua kwa shida au haraka sana
5. π‘οΈ Homa (mwili kuwa wa moto)
6. π· Kuharisha au kinyesi kisicho cha kawaida
7. π€ Vidonda, upele au ngozi kubadilika rangi
8. π Kutoa ute puani au kikohozi
9. π¦Ά Kutembea kwa shida au kutetemeka
10. π§ Kuvimba sehemu za mwili
---
β Mambo ya Kufanya:
- Muweke sehemu safi na ya utulivu
- Mpe maji ya kutosha
- Wasiliana haraka na daktari wa mifugo kwa matibabu
---
π Kwa Matibabu na Ushauri:
Dr. Gilliard β Daktari wa Mifugo
π± 0674740836 | 0792263640
---
Ndio ila akiwa anatoa Ute mwingi kuliko kawaida huyo hayupo sawa anashidaLakini kutoa ute puani kwa ng'ombe ndo inadhihiriaha ana afya si ndio
Na tatizo la ng'ombe kiwa kama anatafuna POVU jeupe ndomoni shida ni nini?Ndio ila akiwa anatoa Ute mwingi kuliko kawaida huyo hayupo sawa anashida
Lakini kutoa ute puani kwa ng'ombe ndo inadhihiriaha ana afya si ndio
Akiwa anatoa povu mdomoni isivyokawaida hiyo Hali husababishwa na maambukizi katika mfumo wa upumuaji kwenye mapafu ambapo anakuwa anahema kwa shida na kutoa povu
Mkuu, hadi ng'ombe una miliki nini?
Akiwa anatoa povu mdomoni isivyokawaida hiyo Hali husababishwa na maambukizi katika mfumo wa upumuaji kwenye mapafu ambapo anakuwa anahema kwa shida na kutoa povu
Mmmh we umejulia wapi ππππππMkuu, hadi ng'ombe una miliki nini?
Soma jibu la mdau hili.
Lakini nakumbuka ng'ombe walikuwa wakila mifuko ya plastiki au boksi walikuwa wakitoa povu pia,
So kuna aina fulani ya chumvi tulikuwa tunawapatia inatibu wanyama π
Unamaanisha nguruwe wetu anaumwa hama?---
ππ ELIMU KWA WAFUGAJI
Dalili za Nguruwe Anayeumwa
---
π Unajuaje kama nguruwe anaumwa?
Fuatilia dalili zifuatazo mara kwa mara:
1. π½οΈ Kukosa hamu ya kula
2. π΄ Kulala sana au kupoteza nguvu
3. π Kutoa sauti ya kuugulia au isiyo ya kawaida
4. π€ Kupumua kwa shida au haraka sana
5. π‘οΈ Homa (mwili kuwa wa moto)
6. π· Kuharisha au kinyesi kisicho cha kawaida
7. π€ Vidonda, upele au ngozi kubadilika rangi
8. π Kutoa ute puani au kikohozi
9. π¦Ά Kutembea kwa shida au kutetemeka
10. π§ Kuvimba sehemu za mwili
---
β Mambo ya Kufanya:
- Muweke sehemu safi na ya utulivu
- Mpe maji ya kutosha
- Wasiliana haraka na daktari wa mifugo kwa matibabu
---
π Kwa Matibabu na Ushauri:
Dr. Gilliard β Daktari wa Mifugo
π± 0674740836 | 0792263640
---
KaribuUnamaanisha nguruwe wetu anaumwa hama?
Juzi Tu alikuwa ameenda Kwa mwamposa kufungua kanisa