Dalili za mimba

Siku saba za mwanzo mwanamke anaeza ona dalili hiz
1.kuhis dalili za kuingia period kama kuumwa tumbo na baadh ya viungo ,matiti kuuma na kuvimba.dalili za hv huwa zinawachanganya sana wadada na wengine kudhan wanakaribia kuingia period
2
Kuwa na hamu sana ya kufanya mapenzi
Zingine zinakuja kadili ya sku zinavozid Kwenda
NOTE.dalili zinatofautiana baina ya mtu na mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…