Dalali wa nyumba

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
kuna dalali yoyote wa nyumba maeneo ya posta au upanga daresalaam
 
nipe mawasiliano yako au nicheki kwa 0718512630 unahitaji nyumba nzima au upande?
 
samahani naomba kuuliza,katika uuzaji wa nyumba nani anawajibika kumlipa dalali kati ya muuzaji na mnunuaji?na pia uwa bei inawekwa kwa asilimia au ni makubaliano??asante.
 
inategemeana akakulipa muuzaji au mnunuaji ila maranyingi huwa ni mnunuaji akili kwako dalali pia mara nyingi hela hutolewa kwa maelewano kibongobongo ingawa ni vizuri zaidi kwa asilimia..
 
mkuu pole na majukum, mimi natafuta nyumba ya kupanga, iwe ya vyumba 2 na sebule, iwe mwanza maeneo yoyote, "medium standard" ntashukuru endapo ntapata msaada.

napatikana 0755924182
 
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya shekhilango na yaan nyuma ya ubungo plaza na ubungo terminal. budget yang ni elfu hamsin na kulipa kwa miez mitatu mitatu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…