masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Ole wake nifufuke!Utamkate miguu wakati kesha kurest in peace
Ole wake nifufuke!
Utamkate miguu wakati kesha kurest in peace
View attachment 67846
Umenunua kamkoko toka Dubai ka kupunguza makali ya daladala.
Wewe na mamsap mnakula kiyoyozi taaartibu mkielekea mujini, ghafla bin vuu, ze daldala mtanuzi anakubamiza ubavuni tokea mlango wa kushoto.
Mimi hapo namkata miguu dereva daladala asiendeshe tena!!!
Kukruka mwanangu, daladala imeharibu furaha yanguHongera kwa kununua gari na sasa una-drive mjini!
Dawa yao hao ni hayati Alhaj Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, hata kama hayupo ameacha wajukuu zake waulize watakupa.View attachment 67846
Umenunua kamkoko toka Dubai ka kupunguza makali ya daladala.
Wewe na mamsap mnakula kiyoyozi taaartibu mkielekea mujini, ghafla bin vuu, ze daldala mtanuzi anakubamiza ubavuni tokea mlango wa kushoto.
Mimi hapo namkata miguu dereva daladala asiendeshe tena!!!
Kweli kabisa Ditopile Mzuzuri alikerwa sana na tabia hii hadi kumtwanga risasi dereva wa dala dalaDawa yao hao ni hayati Alhaj Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, hata kama hayupo ameacha wajukuu zake waulize watakupa.
Kwa sie madereva wa siku nyingi barabarani ku-overtake toka kushoto ni mwiko kabisa. Barabara za zamani wala hazikuwa na markings lakini watu waliendesha kwa heshima kwa vile walipitia mafunzo ya udereva.Barabara zenyewe hata mstari wa kati hakuna