FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,149
- 1,470
Naelewa uwepo wa ndugu zetu ambao hamtaelewa (Mtatoka Weupe) katika mada hii. Niwaambie tu ya kwamba, Legezeni vichwa.
Kuhusu topic..
Ni perfomance zipi unazielewa zaidi na ungependa wahusika siku za mbeleni warudi tena..
Kwa upande wang..
1-One The Incredible na Roza Lee
Hawa jamaa inabidi wafanye kazi ya pamoja. Wote wana sub-etra element za kuchana KiTrump..
2- Dizasta.
Ile Bit ya Kanisa aloimbia mule ilikuwa poa sana tofauti na bit yake orignal. Namshaur Kanisa aifanyie remix kwa M'bit uleee.
3-Nikki mbishi na Maarifa the Big Thinker
Kwenye frestyle Mbishi anakwambia 'Police niachie niende mwanangu takupa rushwaa'. Nikki humu alikaza toka line ya kwanza..
mkuu kwaupande wangu wenyewe ningependa warudie tena
> Boshoo ninja
> T_gwan
>Dizasta vina
Bosho noma huyu nimeanza kumuona kwenye majukwaa ya vilinge kitamboUnamjua Boshoo Ninja?
Alifanya kufuru huyu jamaa!
Alitisha sana, alinata na beat huku akisikika vizuri, punch za kutosha na flow makini sana!Bosho noma huyu nimeanza kumuona kwenye majukwaa ya vilinge kitambo
Haha.. Boshoo Ninja. Tanga Boy!! Alijitahid kwa nafas yakeUnamjua Boshoo Ninja?
Alifanya kufuru huyu jamaa!
Haha.. unamaanisha alimfunika Baba Malcom?Kwangu nadhani Maarifa alifunika sio kitoto. Clip yake huwa naiangalia mara kwa mara.
Hahah kipindi changu bora kabisa. Nikimiss redion nakifata YouTubeWaimba singeli wanasemaga kuwa MSHAMBA HAWEZI KUELEWA
Hahah.. Shukrani sana mkuu.Dizasta Vina ( kuhusu beat ya kanisa naunga mkono hoja ile ya dakika 10 ilikua hatari zaidi kuzidi ya kwake Original)
One The Incredible vs Rosa Lee
Boshoo Ninja
Hahahah.. Bi mdada anajitahidi sema anachagua sana Bits..Roza lee anachojua kuimba yeye ni neno MOTHERFUCKE.. bila hilo neno anaona nyimbo yake hainogi.
Hahah.. Jamaa anajua sana huyuu!!Aha nilimwelew xana dizasta hasa pale alipochana undesha gari la shemeji sina wiv dah anaflow kama hataki na uyu chalih ya alachuga uyu rafu nlmwelewa
Hahah.. jamaa pia anajitahidi kiasi flan..boshoo ninja tanga boy