sio kwamba anakutega! huyo binti na mashosti wake lao moja...anataka uwe huru kutembea nao wote kwa maana hayuko kwako kimapenzi kwa dhati. vile anavyokuchuna anataka na mashosti zake nao mikono yao iende kinywani (pesa yako baba ndo inatakiwa tu). nahisi hao ni mabinti wa chuo maana ndo zao hizo!