MKALI W MAMBO Senior Member Joined Aug 9, 2018 Posts 190 Reaction score 136 Aug 13, 2018 #1 Mwanamke mwerevu hutunza heshima yake kwa maneo matendo na mavazi yake. Hakikisha ukiwa mzuri na mrembo basi uwe na akili ya kufikiria pamoja na nidhamu ili usiwe daraja la wanaume walafi.
Mwanamke mwerevu hutunza heshima yake kwa maneo matendo na mavazi yake. Hakikisha ukiwa mzuri na mrembo basi uwe na akili ya kufikiria pamoja na nidhamu ili usiwe daraja la wanaume walafi.
lup JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 2,514 Reaction score 2,744 Aug 13, 2018 #2 Wamekusikia
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,284 Reaction score 79,655 Aug 13, 2018 #3 Kwahiyo we unatuonea wivu sisi tukiwa tunawatumia kama daraja? Ninachowapendea dada zangu hawa ataonyesha kukusikiliza kweli ila akion call inaingia yote anasahau
Kwahiyo we unatuonea wivu sisi tukiwa tunawatumia kama daraja? Ninachowapendea dada zangu hawa ataonyesha kukusikiliza kweli ila akion call inaingia yote anasahau
MKALI W MAMBO Senior Member Joined Aug 9, 2018 Posts 190 Reaction score 136 Aug 14, 2018 Thread starter #4 Castr said: Kwahiyo we unatuonea wivu sisi tukiwa tunawatumia kama daraja? Ninachowapendea dada zangu hawa ataonyesha kukusikiliza kweli ila akion call inaingia yote anasahau Click to expand... ha ha ha mambo ya Ilala
Castr said: Kwahiyo we unatuonea wivu sisi tukiwa tunawatumia kama daraja? Ninachowapendea dada zangu hawa ataonyesha kukusikiliza kweli ila akion call inaingia yote anasahau Click to expand... ha ha ha mambo ya Ilala
Omuzirambogo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 685 Reaction score 753 Aug 14, 2018 #5 Utakuwa umetendwa wewe! Sawa amekusikia
Gentlewoman Senior Member Joined Aug 13, 2018 Posts 192 Reaction score 393 Aug 14, 2018 #6 MKALI W MAMBO said: Mwanamke mwerevu hutunza heshima yake kwa maneo matendo na mavazi yake. Hakikisha ukiwa mzuri na mrembo basi uwe na akili ya kufikiria pamoja na nidhamu ili usiwe daraja la wanaume walafi. Click to expand... Shukrani mkuu nimejifunza
MKALI W MAMBO said: Mwanamke mwerevu hutunza heshima yake kwa maneo matendo na mavazi yake. Hakikisha ukiwa mzuri na mrembo basi uwe na akili ya kufikiria pamoja na nidhamu ili usiwe daraja la wanaume walafi. Click to expand... Shukrani mkuu nimejifunza