Customer Care Airtel are Incompetent

kiss cool

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
67
Reaction score
19
Nimefanya malipo toka 24.08. ya 800,000 mtandao wenu ukasumbua. Nikawapigia mkaahidi mtarejesha nimepiga mara kadhaa kila mhudumu ukimweleza tatizo anakuambia kata upige tena.

Kumbuka kila ulipiga unakatwa hela taslimu na sio dakika za kujiunga. Tafadhali toeni taarifa rasmi na naangalie the way I can sue you either through TCRA
 
Costumer care wanaboa sana.
 
wananyodo haoo. Wanajiona wamefika. Me niliwatosa kitambo sana baada ya kujibiwa kijingajinga. Sijui wanawaokota wapi hao mabinti wa Customer care ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…