Nimemkumkuka baba wa taifa na ule usemi wake wa kwamba tukamuombea adhabu OAU, OAU walipokaa kimya walionyesha mfano mbaya sana, sasa na mimi nakuombea adhabu kutoka kwa wanaukawa, wakikuacha hivihivi watakuwa wameonyesha mfano mbaya sana
CUF hawakupambana kwa silaha...ilikuwa ni hoja na misimamo thabiti isiyoyumba. Nini kimewatokea safari hii?
kura za maruhani ziliipigwa kuonesha kuwa hawataki.Hata mgomo wa juzi umeonesha kuwa cuf ndo wanasikilizwa na wananchi.
Hata hu
Hata huo ni msimamo na wameonyesha ungangari kwa kukisimamia wanachokiamini, labda kwako wewe ngangari ni wangekubali kura ya marudio au ulitaka waandamane muwaue kama kipindi kile kwa kisingizio ni magaidi ili muwaue wale watu wote mnaohisi ni hatari kwa utawala wenu?, kwa kisingizio intelejensia yenu imebaini watu fulani ni magaidi?, kushinda mmeshinda raisi mmeshamuapisha sasa hii hofu inatoka wapi ccm, maana siku mbili hizi kuna uzi nyingi za kuiponda cuf mnaogapa nini?
Kinachofanyika ni uchambuzi kujua nini nafasi ya CUF kwenye siasa za upinzani hasa hasa Visiwani. Unadhani kususia uchaguzi ni msimamo sahihi kwao? Hatima yao kuelekea 2020 na baadaye kwenye siasa za Tanzania ni nini?
nimesoma nimeishia kuona pumba tupu. hadithi yako ulikusudia kufundisha nini.Miaka ya 1990 wakati mfumo na chaguzi za vyama vingi zimeanza, CUF waliibuka kuwa chama imara sana, hasa kule Visiwani. Walipata umaarufu sana kwa misimamo yao, hasa pale wapoleta usemi mpya, "ngangari". Mwaka 2001 CUF kwa misimamo yao walipiga kura kwa wagombea wao kwenye viti vya uwakilishi licha ya kwamba hawakuwepo na kujulikana kama kura za "maruhani". Kuna kipindi fulani, aliyekuwa Mkuu wa jeshi la Polisi, Omar Mahita, alisema kama CUF ni ngangari basi polisi ni "ngunguri".
Fast-forward 2015-16: CUF wamesusa. Sifa yao ya kuwa ngngari imesaidia chochote? Au wamepoteza muda mrefu kuwa na sifa ya ngangari tena? Ni hatima na majaliwa ya CUF kisiasa?
subbiri mpaka sikukuu ya wajinga april mosiKinachofanyika ni uchambuzi kujua nini nafasi ya CUF kwenye siasa za upinzani hasa hasa Visiwani. Unadhani kususia uchaguzi ni msimamo sahihi kwao? Hatima yao kuelekea 2020 na baadaye kwenye siasa za Tanzania ni nini?
Cuf ndembe ndembe...miaka mi 5 nje ya game Ni shida....Miaka ya 1990 wakati mfumo na chaguzi za vyama vingi zimeanza, CUF waliibuka kuwa chama imara sana, hasa kule Visiwani. Walipata umaarufu sana kwa misimamo yao, hasa pale wapoleta usemi mpya, "ngangari". Mwaka 2001 CUF kwa misimamo yao walipiga kura kwa wagombea wao kwenye viti vya uwakilishi licha ya kwamba hawakuwepo na kujulikana kama kura za "maruhani". Kuna kipindi fulani, aliyekuwa Mkuu wa jeshi la Polisi, Omar Mahita, alisema kama CUF ni ngangari basi polisi ni "ngunguri".
Fast-forward 2015-16: CUF wamesusa. Sifa yao ya kuwa ngngari imesaidia chochote? Au wamepoteza muda mrefu kuwa na sifa ya ngangari tena? Ni hatima na majaliwa ya CUF kisiasa?