Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,657
- 80,612
Which medicine do u export to us that can't be produced in Tanzania? stop what ur smoking!Thamani ya trela moja ya bidhaa kama madawa ,ambazo ndio export kubwa ya Kenya nchini Tz, ni sawa na thamani ya trela ngapi za maharage na mahindi? 15,20,25,30? Tafakari hayo.
You are stupid.Thamani ya trela moja ya bidhaa kama madawa ,ambazo ndio export kubwa ya Kenya nchini Tz, ni sawa na thamani ya trela ngapi za maharage na mahindi? 15,20,25,30? Tafakari hayo.
Mzee, kabishane na TRA, BoT ndio hizi takwimu zao>>> Tanzania trade with Kenya turns into deficit Tangia mpate uhuru isipokuwa 2014-18, hakuna mwaka ambao mmeuzia Kenya bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya mnazonunua kutoka Kenya. Mwaka jana mmepata deficit ya $35.8 million kwenye biashara na Kenya. Top export za Tz, mahindi, maharagwe, kamba za makonge. Top export za Kenya, madawa, sabuni, bidhaa zingine kutoka kwa viwanda. Una swali lingine?Which medicine do u export to us that can't be produced in Tanzania? stop what ur smoking!
Read fi ya own sef ye Sub-Saharan. Tanzania trade with Kenya turns into deficitYou are stupid.
Do some investigation. Just list medicine do you export to TZ
LOL Hedex ndio anaita madawaYou are stupid.
Do some investigation. Just list medicine do you export to TZ
LOL Hedex ndio anaita madawaYou are stupid.
Do some investigation. Just list medicine do you export to TZ
as if hamna alternative ya Hedex! Mimi ninachojua Kenya hu-export chewing gum kama huyu economist Prof dr Ojwang alivyosema leo! Mpaka SGR imetajwa!LOL Hedex ndio anaita madawa
Nimekuuliza dawa zipi tunategemea kenya na hapa TZ hazipo!?Read fi ya own sef ye Sub-Saharan. Tanzania trade with Kenya turns into deficit
Pitia kiwanda hiki kimoja kwanzaRead fi ya own sef ye Sub-Saharan. Tanzania trade with Kenya turns into deficit
Mkoloni aliondoka na akili zao,Which medicine do u export to us that can't be produced in Tanzania? stop what ur smoking!
Habari zaTRA ndio zimemaliza kila kituNimekuuliza dawa zipi tunategemea kenya na hapa TZ hazipo!?
Just mention them.
Mbona unapindisha pindisha na wakati hyo link inaonyesha km katika biashara sisi ndio tunawauzi sana
Na bado wanamlilia mkoloni na kizungu chao feki, hawajielewi hawa nyang'au.Mkoloni aliondoka na akili zao,
Unakumbuka yule mjinga mwenzake aliyeandika jana eti Tz hawatengenezi dawa za meno
Nimekuuliza dawa zipi tunategemea kenya na hapa TZ hazipo!?
Just mention them.
as if hamna alternative ya Hedex! Mimi ninachojua Kenya hu-export chewing gum kama huyu economist Prof dr Ojwang alivyosema leo!
Nilijua mtaingiza porojo maanake huwa mna allergy kali sana ya takwimu. Haijalishi ni bidhaa zipi haswa kutoka kwa viwanda vya Kenya. Ila natumai mmeona kwamba mwaka uliopita Kenya iliwapiga bao la kibiashara la $35.8 million(takwimu za TRA/BoT sio mabeberu). Hivi mnajua pia kwamba 70% ya mahindi ambayo Kenya huwa inaagiza kutoka nje yanatoka Uganda? K.m. mwaka huu wa 2018 baada ya Kenya kuzalisha tani 360,000 pengo la demand lilosalia nchini waliagiza tani 66,900 Uganda na Tz tani 10,000 tu. Kenyans import $31.2m maize from the region to meet demand - KenyaLOLHedex ndio anaita madawa