booker T washington
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 104
- 36
How to analyse a particular coin...
Soma trend ya buying na selling,
Angalia investors waliopo yaan kwenye website ya coin husika
Angalia kupanda na kushuka katika market cap
Angalia volume husika
Zingatia jins wanavoadvitise...hivo vyote vikiangaliwa kwa makini ni rahis kujua ni coin gani ununue na uache, ipi itapanda hiv karibun na ipi itachelewa, so analysing inahtaji kiukweli huez kuifanya kwa masaa wala siku moja..unatakiwa uifatilie coin kwa mda mrefu kidogo jins inavopanda inashuka na factor zinazosababisha demand na suply ya coin
Inahtaji ukae kwa computer unaangalia trend na graph
Inahtaji oll time watching...si jambo dogo sana, ila mpka uwe interested...
WhatsApp +255656202162