Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Hangover ya pilau za kualikwa hiziiHuyu ndo Baby Jesus aliyesherekewa jana na mabilioni ya wakristo.
This is Blesphemes: Kwanini unamwabudu Yesu ambaye kila mwaka anakuwa mtoto?, Yesu anayebebwa na mwanadamu leo? na si yule Yesu wa Nazaret aliyembinguni katika mkono wa kuume wa Mungu mwenyezi?
Nani alikuagiza kufanya hivyo huku mitume wala wakristo wa awali hawakufanya hivyo? Hata wao wanakiri hivyo:-
Ensaiklopidia ya Kikatoliki, toleo 1911, inasema hivi juu ya “Krismasi”: “Krismasi haikuwa miongoni mwa sikukuu za mwanzo za Kanisa… Christmas was not among the earliest festivals of the Church (Martindale C. Transcribed by Susanti A. Suastika. Christmas. The Catholic Encyclopedia, Volume III. Copyright [emoji767] 1908 by Robert Appleton Company. Online Edition Copyright [emoji767] 2003 by K. Knight. Nihil Obstat, November 1, 1908. Remy Lafort, S.T.D., Censor. Imprimatur. +John Cardinal Farley, Archbishop of New York).
Sasa kama mitume na wakristo wa zamani hawakufanya hayo unafikiri huko salama? Tazama hapo chini:-
“Subtly…the old gods had entered their churches…And they live still in the festivals of Christianity.”-(Testament: The Bible and History, Romer, 1988, pp. 230-31). Tafsiri-miungu ya zamani iliingia katika makanisa yao na bado inaishi kwenye sherehe za kikristo.
Rafiki hata kama utasema nakuhukumu tambua tu unafanya ibada ya sanamu katika sura ya kikristo. Na haupo katika amri ya kristo bali mapokeo ya wanadamu, kifupi unaabudu bure.
Nao waniabudu bure,Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu, Marko 7:7. Krismasi si amri ya Mungu—ni mapokeo ya wanadamu. Kristo aliendelea, “Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu” (Marko 7:9)
Sanamu zao ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu. Zina vinywa lakini hazisemi, Zina macho lakini hazioni, Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazisikii harufu, Mikono lakini hazishiki, miguu lakini haziendi, Wala hazitoi sauti kwa koo zake. Wazifanyao watafanana nazo, Kila mmoja anayezitumainia. Zaburi 115:4-8
Fanya hima umrejee Yesu aliye hai aitwaye Kristo ili akupe toba na msamaha wa dhambi, na si huyu Yesu wa kutengeneza anayebebwa.
Mungu akubarikie sana unapochukua hatua.
Habari mkuu.Huyu ndo Baby Jesus aliyesherekewa jana na mabilioni ya wakristo.

Kwann nisiyaamini ikiwa wao ndio waanzilishi wa x mass na HAKUNA USHAHID WA BIBLIA KUWA YESU aliamuru tusherehekee hii sikukuu ya kipaganiHabari mkuu.
Unayaamini yaliyoandikwa kwenye vitabu ulivyovinukuu? Mfano encyclopedia katoliki?
Kama unayaamini basi tutayajadili vizuri kwani kuna mambo mengi sana mkuu.Kwann nisiyaamini ikiwa wao ndio waanzilishi wa x mass na HAKUNA USHAHID WA BIBLIA KUWA YESU aliamuru tusherehekee hii sikukuu ya kipagani
Jenga hoja mkuu , sijajua unataka tujadili hasa nini ,Kama unayaamini basi tutayajadili vizuri kwani kuna mambo mengi sana mkuu.
Hicho ulichokianzisha,Jenga hoja mkuu , sijajua unataka tujadili hasa nini ,
Yesu alizaliwa au hakuzaliwa? Na kama alizaliwa inakuumiza nini mimi au wewe kusherekea siku ya kuzaliwa kwake,Na upagani unaingiaje hapo? Wanaokataa kusherekea siku ya kuzaliwa Yesu ni mpagani kwa maana sisi ni mwokozi wetuKwann nisiyaamini ikiwa wao ndio waanzilishi wa x mass na HAKUNA USHAHID WA BIBLIA KUWA YESU aliamuru tusherehekee hii sikukuu ya kipagani
Tatizo lenu mmekariri yaleyale, kila anayejisema anafahamu anaishia kwenye maelezo yaleyale. Fuatilia thread zilizoanzishwa Jana zote maelezo ni yaleyale,.Kiuhalisia sherehe hii ilianza hivi,
Wayahudi walisherehekea 25/12 kuachiwa kwa mfalme wao yehoyakini (yeremia 52:31) kama siku kuu ya kuwekwa kwao huru, wakati huohuo wapagani walioabudu jua walisherehekea kuzaliwa kwa mtoto wa nimrod (mungu jua) aitwaye TAMUZ kila ifikapo hio tarehe.
Sherehe hizi ziliunganishwa pamoja pale mfalme Constantine wa Rumi alipoamua kukomesha mateso ya wakristo na kubatizwa kuwa mkristo ambapo walisema kwa vile mfalme wao alikua yesu hivyo waunganishe na mungu wao tamuz na kuiita misa ya kristo yani Christ Mass huku wakristo wakifahamu kinachoendelea na kushindwa kupinga mana mamlaka ya kiserikali ndio iliamua. Ila vizazi vilivyofuata havikufahamu chimbuko kwani ulikua utamaduni wa kila mwaka hadi Leo watu wameikuta krismasi na wanasherehekea bila maswali
Hizo quote za encyclopedia ya kikatoliki ni matamko halisi ya wakatoliki ili kustate mamlaka yao katika sikukuu hii
Kwa mwenye open mind ya kutaka kufahamu ukweli na sio kubisha Tu kitu wasichofahamu kilianzia wapi wasome kitabu cha Vance Farrel kiitwacho 'Christmas, Easter and Halloween'
NOTE: Mwanzo hadi ufunuo hakuna mahali panaposema kwenye bible kwamba yesu alizaliwa tarehe hiyo.
Miezi hii Kyle Bethlehem ni baridi Kali ambapo watu hujifungia ndani kwa sehemu kubwa na hata mifugo hulishiwa ndani kwa ndani, logically hawezi kuzaliwa kwenye hori LA ng'ombe katika mazingira hayo angekufa kwa baridi mana huwa inaanguka hata theluji.
Logically wale wachungaji waliotokewa na malaika wasingekuwa wanachunga nje kwenye baridi Kali usiku, logically alizaliwa mahira ya joto ambapo kwa huko ni around April hadi June
Ni kweli vitu vingine mtu inabidi uongozwe na roho mtakatifu.utasema hata kula pilau ni dhambi kwa kuwa yesu hakusema tule pilau,
kuna ubaya gani kwenye calender ya kanisa kuwa na Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mwokozi
Anakukumbusha sifa za MUNGU, hakuzaa wala hakuzaliwa,, wala hafanani na yeyote ,,MUNGU huyo amezaliwa,,anakula,,analala,,anapigwa makofi hadi kuning'inizwa msalabaniAkili zako fupi sana!!.....Kusherekea birthday/siku ya kuzaliwa ya mtu ina maana huyo mtu amekuwa mtoto??