Imetulia nitakucheki mkuuc.c 1980
mileage 7655km
Bei 5.5M
ni gari ya mwaka 2001.
Haina shida yoyote.
Engine haijaguswa
Location Kigamboni
Hamna dalali ni mimi mwenyewe muhusika unakaribishwa kuiona.
Ilikuwa inatumiwa kwa mizunguko midogo midogo hapa mjini na (Ke).
Kila kitu kipo haidaiwi.
Reason ya kuiuza ni kiasi tu hicho kinatakiwa kujazia ili kuchukua gari nyingine ya juu zaidi.
.
Wese ni aje?Cresta ni gari inayo dumu sana na haina gharama kubwa za service
Wese ni kawaida. Hio gari wengine wanaiita jini, kimsingi hupaswi kuwa na mafuta ya mawazo mana hio ni six na inakunywa balaa mkuu, so sio economical hasa kwa mjini na foreni. Ila ni gari ngumu sana.Wese ni aje?
c.c 1980
mileage 100334km