Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
CRDB washawahi niliza 20,000 naenda atm et pesa hakuna dahWateja wote wa CRDB waliofanya transfer kwa kutumia simbanking siku ya Juma pili 17.11.2019 hela yao zimezuiliwa. Kila wakipigiwa simu wanasema subiri. Hawajui extent ya usumbufu waliowasababishia wateja. usumbufu wa aina hii katika hii benki umekuwa kawaida. Kungekuwepo regulatory authority ya bank, hawa jamaa wangechukuliwa hatua
Wateja wote wa CRDB waliofanya transfer kwa kutumia Simbanking siku ya Jumpili 17.11.2019 hela zao zimezuiliwa. Kila wakipigiwa simu wanasema subiri. Hawajui extent ya usumbufu waliowasababishia wateja. Usumbufu wa aina hii katika hii benki umekuwa kawaida. Kungekuwepo regulatory authority ya bank, hawa jamaa wangechukuliwa hatua.
BOT is a regulatory authority ya bank zote hapa TZ
BOT is a regulatory authority ya bank zote hapa TZ
Simu zina raha yake, ila mitandao ikizingua ni shida sanaSasa hivi ndio wamenirudishia hela yangu