CRDB PLC Inakuaje?

kirongo 1

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
21
Reaction score
3
Heshima mbele wadau,

Naomba kujuzwa hii benki ya CRDB Plc wanachukua watumishi kuanzia GPA ya ngapi. Toka nimalize chuo napeleka CV tuu kila siku. Wana CV zangu zaidi ya kumi. Lakini kila uchao wanaajiri vijana wenzangu, lakini hata kwenye interview sijawahi bahatika kuitwa.

Ningependa kujua coz ukipeleka CV yako pale Azikiwe branch unaishia kwa mlinzi na hakupi jibu la kueleweka kabisa kama sio kukattisha tamaa

Kirongo 1 nawasilisha.
 
Au barua za maombi ya kazi unatakiwa kupeleka wapi? Sababu wenzao wana ajiri kupitia kanda, wao je?
 
walitangaza kazi? kama hawakutangaza ni ngumu, mostly wanachukua graduates toka chuo kuanzia 3.5 GPA so wakitaka wafanyakazi wanawachukua wale. hao grduates wakienda huko wanafanya internship for six months then ndio wanaajiriwa
 

We mchaga? Kama sio mchaga acha kupoteza makaratasi.
 
Hupati hata uwe na GPA ya 5 bila kubebwa pale ni kazi bure may be uwe SHIMBONI.
 
Hao wachaga mnavyowapiga vita, cjui kwa nn???????????? Mna bahati sana maadui wa wachaga kwa kuwa wachaga wako tofauti, kuna wamarangu, wakibosho,wamachame,warombo na waold moshi. wote hawa wanatofautiana sana. wangekuwa wamoja kama wasukuma nadhan watu ambao ni maadui wa wachaga mngeingia msituni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…