CRDB kuchelewesha mishahara ya wateja

mfereji

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Mimi ni mteja wa CRDB. Awali mshahara ulikuwa unaingia kati ya tarehe 28 na 30 ya kila mwezi. Kwa muda mrefu sasa mshahara unachelewa kuingia hadi tarehe 4 hadi 15 ya mwezi. Wakati huo wenzetu wanaopitishia NMB huwa wanapata tarehe 26-28 ya mwezi. Kuna nini? Naomba mrekebishe hali hii tusije tukawahama.
 
ni kweli kwa hilo wanazingua wajirekebishe coz wateja wengi hulalamika
 
Ongea vizuri na muhasibu wa kampuni yenu kama hao crdb awaelewi mwachie namba yako akurushie tigo pesa au airtel money mwezi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…