Kuna hawa wadada dirisha namba 1 na 2 ni kero. Wanawarudisha wateja then wanachati tu.Mbaya zaidi kuna watu wao ambao wanawaita kwa majina ili wawahudumie na kuwaacha wateja wengine wakiwa wamesimama kwa muda mrefu.
Pia mlinzi anayeruhusu wateja kuingia ndani crdb kinondoni manispaa ni kero. Anavuta buku 5 na kutuhusu wengine zamu zenu majaliwa. Waweza ukawa wa 10 ktk no. But ukahudumiwa wa 40. Ni kero kubwa