Consolata2000
Member
- Apr 13, 2013
- 40
- 4
Mkuu sema CPU zipi unahitaji maana zipo nyingi, kwa muonekano huo ulioweka tuu hajitoshelezi? mie ninazo kadhaa tofauti tofauti kuanzia 486DX hadi Pentium 4
Unataka kuyeyusha dhahabu nini? Tafuta sehemu wanako-recycle PC!!
Nanunua cpu processor sh. 500 moja na RAM zilizokufa sh. 500 kwa tano. Anayetaka kufanya biashara ani-PM
Ujasiliamali hauna kikomo, usije ukawa usanii kam ule wa Shilling tano ya trekta.
Eee mkuu miye ninazo nyingi tuu, ila sijui una haraka nazo kiasi gani..