Mikia hawawezi kumfunga Yanga safari hii, timu lao bovu, kocha dhaifu, viongozi mabwege, mashabiki wana hasira kazi yao kusemea mambo ya Yanga badala ya kutoa ushauri kwa timu lao dhaifu. Yanga wako vizuri sana japo Thimba inawauma sana wakiskia hili, eti BDF walikuwa dhaifu kwani kati ya stand United au mbeya city nani dhaifu ukilinganisha na BDF ?