Habar Zenu mabibi na mabwana,,, Labdaa niende moja kwa moja kwnyee madaa. N hv nmekua na tatizo la kuwadharau wanawakee kwa muda mrefuu. Nmekuwa nkiwaonaa kama watu ambao hawana mawazo chanya kwny jamii kufikia hatua ya kuathirii mahusianoo yangu Na kupelekea kuachwaa kama co kuachana! je hii n kawaidaa kwlii au n tatizoo na kama n tatzoo nifanyeje ili niweze kuondokana naloo?? N:B majibu ya kejeli hayaruhusiw toa uxhaur kama mtuu unayejielewaa!!!!