Premio manual ya mwaka 2000 1587cc, imetembea 74582kms inauzwa bei ni Tshs 9.5ml. Ipo katika hali nzuri sana kiujumla na haina historia ya ajali. Inapatikana Arusha, kwa atakuwa tayari kununua atapunguziwa bei ya mafuta tu hadi aendako.
Inavyoonekana kwa mbele.
Jinsi inavyoonekana kwa nyuma.
Kwa wapenzi wa manual, hii ni bidhaa adimu sana kupatikanika.
Muonekano wa Engine ni mbichi kabisa with only 1587cc! Kitu siyo D4 hicho.
Jionee kms mwenyewe hapo, hakuna magumashi.
Hali ya tairi bado ni nzuri kukuwezesha kutembelea zaidi ya mwaka mmoja na rimu siyo spoti size 13.
Kwa wale ambao wapo serios tafadhali wasisite kuwasiliana na Mzee wa Rula.
Si unataka uuziwe gari 4.5ml halafu matengenezo unatumia 2ml ili ikae vizuri. Kuhusu wizi hilo gari si la wizi, ninauza kwa sababu ninataka kubadili gari na si vinginevyo. Kacheki bei ya premio automatic halafu iagize uone joto lake.