Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 20,577 Reaction score 38,169 Jan 31, 2020 #21 Kiranga said: Ni janga linalotokana na virusi kama majanga mengine yanayotokana na virusi, sihitaji nadharia ya Mungu kuelezea hilo. Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwan wewe unaweza kuthibitisha yakwamba MUNGU Hayupo ?!..... Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga said: Ni janga linalotokana na virusi kama majanga mengine yanayotokana na virusi, sihitaji nadharia ya Mungu kuelezea hilo. Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwan wewe unaweza kuthibitisha yakwamba MUNGU Hayupo ?!..... Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,411 Reaction score 157,781 Jan 31, 2020 #22 Bwana Utam said: Kwan wewe unaweza kuthibitisha yakwamba MUNGU Hayupo ?!..... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unathibitishaje kisichopo hakipo? Nikikwambia uthibitishe Willy Gamba wa Musiba hayupo utaanzia wapi na kuishia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana Utam said: Kwan wewe unaweza kuthibitisha yakwamba MUNGU Hayupo ?!..... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unathibitishaje kisichopo hakipo? Nikikwambia uthibitishe Willy Gamba wa Musiba hayupo utaanzia wapi na kuishia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
I Intel5500 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2019 Posts 738 Reaction score 657 Jan 31, 2020 #23 ....hii mada ishabadiri muelekeo.....
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 24,049 Reaction score 30,955 Jan 31, 2020 #24 Chakochangu said: Waamerica na washirika wao waangalieni hivyo hivyo. Nendeni nao kwa tahadhari. Jifunzeni kwenye Ebola,mafua ya ndege, HIV, Cancer. Silaha za kibaiologia. Click to expand... Nasikia watz wameshambuliwa na mental weapon
Chakochangu said: Waamerica na washirika wao waangalieni hivyo hivyo. Nendeni nao kwa tahadhari. Jifunzeni kwenye Ebola,mafua ya ndege, HIV, Cancer. Silaha za kibaiologia. Click to expand... Nasikia watz wameshambuliwa na mental weapon