VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
Ndo kwanza watu wanaondoka na nyungu zaomwanzo kabisa meko alituambia tujifukize kabla ya hii alituambie tuliombee taifa kwa day 3
akaja ja4 akatuambia tupige nyungu
meko pia akatuambia tusitishwe wala tusiwe na hofu
jana akasema atatuma ndege iende madaska kuchukua dawa
kwa kauli hizo inaonesha meko hana uhakika na anachokisema... maana hajatoa clarification kuwa #kujifukiza ni dawa ya korona pia ja4 hajatoa clarification kuwa ukipiga nyungu ni dawa ama la.... watu wamepigishwa nyunguu weeee wamejifukiza weee kumbe mambo ni bilabila!!
akili za kuambiwa changanya na za kwako
vipi kupiga nyungu au kujifukiza siyo dawa mzee?Leo Aljazeera walionesha ndege za Guinea Bissau zinamaliza dawa zote Madagascar , jamaa wameshachukua za kutosha! ni dawa za mitishamba hazina madhara, nyie endeleeni kuponda tu dawa zinaisha huko madagasca zitabaki Remsdevir za Trump za kuua kizazi!!
Hizo dawa za mitishamba na hapa Tanzania zipo, muulize Melo anaujua "OMUSHUNSHU'!Leo Aljazeera walionesha ndege za Guinea Bissau zinamaliza dawa zote Madagascar , jamaa wameshachukua za kutosha! ni dawa za mitishamba hazina madhara, nyie endeleeni kuponda tu dawa zinaisha huko madagasca zitabaki Remsdevir za Trump za kuua kizazi!!
Hata miaka ya 80 muliuza kila kitu mpaka leo YESU hajaja!Tutalaumiana bure,lakini tunaosoma biblia tumeshajua kuwa asubuhi imeisha,mchana umeisha,jioni ndio hiyo inapotea.hizi wapendwa ni nyakati za mwisho.Muda huu ni muda wa kumtafuta Mungu sana.
Sasa kwanini huyo mungu anajificha mazee?Tutalaumiana bure,lakini tunaosoma biblia tumeshajua kuwa asubuhi imeisha,mchana umeisha,jioni ndio hiyo inapotea.hizi wapendwa ni nyakati za mwisho.Muda huu ni muda wa kumtafuta Mungu sana.
Hata nyakati za Nuhu walikuwepo watu kama ninyi!Hata miaka ya 80 muliuza kila kitu mpaka leo YESU hajaja!
Iyo miti hata Tz tunayo. Tunahitaji formula tujitengenezeeLeo Aljazeera walionesha ndege za Guinea Bissau zinamaliza dawa zote Madagascar , jamaa wameshachukua za kutosha! ni dawa za mitishamba hazina madhara, nyie endeleeni kuponda tu dawa zinaisha huko madagasca zitabaki Remsdevir za Trump za kuua kizazi!!
Si mpaka tupate hakimiliki kutoka Madagascar.Hizo dawa za mitishamba na hapa Tanzania zipo, muulize Melo anaujua "OMUSHUNSHU'!
Nawashangaa wanaotaka kuwafuata waganga wa madagascar na ndumba zao. Ina maana yule Mungu waliyesema tumwombe kwa siku tatu mfululizo kafa? Hii ni dhihaka kwa Mungu aliye hai ambaye hapendi michanganyoTutalaumiana bure,lakini tunaosoma biblia tumeshajua kuwa asubuhi imeisha,mchana umeisha,jioni ndio hiyo inapotea.hizi wapendwa ni nyakati za mwisho.Muda huu ni muda wa kumtafuta Mungu sana.