Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,160 Jan 18, 2013 #21 mileage chini ya 125,000. Engine safi haijawahi kuguswa. Ilipigwa rangi za bamber ya mbele na nyuma tu lakini ina original colour. Ni safi ndani n#E3E9DA
mileage chini ya 125,000. Engine safi haijawahi kuguswa. Ilipigwa rangi za bamber ya mbele na nyuma tu lakini ina original colour. Ni safi ndani n#E3E9DA
Kagosaki JF-Expert Member Joined Feb 11, 2010 Posts 208 Reaction score 56 Jan 21, 2013 Thread starter #22 Blaque said: Mkuu Ntakutafuta Click to expand... Jamani gari hii sasa imeuzwa, haipo tena.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Jan 22, 2013 #23 mkuu 4 kamili ipo hapa unasemaje?
Songoro JF-Expert Member Joined May 27, 2009 Posts 4,122 Reaction score 1,022 Jan 22, 2013 #24 Wiyelele said: Kagosaki namfaham ni msomi mzuri na anawadhifa mzuri tu. Ni mtu mwenye degree zake nzito na wala sio moja. Click to expand... Asilimia zaidi ya 90 ya WEZI wakubwa wa nchi hii wana shahada zaidi ya moja na ndio wafadhili wakubwa wa Nyumba za Ibada!
Wiyelele said: Kagosaki namfaham ni msomi mzuri na anawadhifa mzuri tu. Ni mtu mwenye degree zake nzito na wala sio moja. Click to expand... Asilimia zaidi ya 90 ya WEZI wakubwa wa nchi hii wana shahada zaidi ya moja na ndio wafadhili wakubwa wa Nyumba za Ibada!