kabla sijapiga nijulishe haya yafuatayo...i knw a serious buyer anataka gari kama yako kwa biashara ya tax -kwanini unauza? -unauza tsh ngapi? -inaonekana kuwa ni tax ya kinondoni...imelipiwa kila kitu? -records zake kwa upande wa ajali ipo vipi? -registration namba ipi? -a/c na seats ndani vipo vipi?
Nimeshindwa kuimanage kama Taxi sina muda wa kutosha kumfuatilia dereva, fixed price 4.5 mil TShs, imelipiwa kila kitu ila road licence iliisha tarehe 1 Oct 2010 nitalipia soon, lipata ajali ikaharibika show ya mbele nimeweka mpya kabisa lakini halina rekodi yoyote polisi, regsitration umber yake ya taxi ni 529, na ya pale ni T678AEN, ina AC na seat nzuri labda marekebisho kidogo kwenye dashboard. Imekwend Km 190,000 na niya model ya mwaka 1993.