Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
Gari nilipeleka body kupiga rangi kwahiyo Sijapiga bado maana kuna pesa sijamaliza kwa fundi ,na mimi nnagari ingine siwezi miliki mkuu magari mawili ntakufa mjini apa ...Ongeza nyama. Ina shida gani. Engine?body imegongwa? Wiring? Nini?
Usigune ..hakuna kulazimishwa ukiona hakikufai unakiacha ..mkuu hakuna wakukushikia fimbo
Mkuu kuuza gari ikiwa kwa fundi rangi ni vitu vya kawaida sana ,hata uko gereji unakosema ...watu wananunua gari imegongwa sembuse hii kupiga rangi ? wanarekebisha na mambo yanaenda si mambo ya ajabu katika ulimwengu wa magariHivyo inauzwa huko gereji. Tuombe mafundi wasiwe wametia mkono wao
Million moja na nusu ,mkuu1.5 ni nini mkuu?
PichaMillion moja na nusu ,mkuu
Mkuu kuuza gari ikiwa kwa fundi rangi ni vitu vya kawaida sana ,hata uko gereji unakosema ...watu wananunua gari imegongwa sembuse hii kupiga rangi ? wanarekebisha na mambo yanaenda si mambo ya ajabu katika ulimwengu wa magari
Imekuweje mkuu hiyo benz[emoji23][emoji23][emoji23]Usinielewe vibaya. Nahofia gereji mkuu. Nina kadi hapa ya benzi na gari sina.
Mkuu nilishaanidika mwaka 1999Ya mwaka gani??
nimeshindwa kupost inagoma ,samahani kwa hiloweka picha tuione