Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,529
- 61,939
Baada ya Uruguay kuwanyamazisha mbele ya mashabiki wao katika fainal ya Fifa world cup katika ardhi ya nyumbaniForza Brazil. Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 60 Brazili kavaa jezi ya Blue na White akiwa nyumbani.
Leo kuna Argentina Vs ColombiqMechi nimeiamkia saa tisa. Hapana aisee. Ila Bolivia sio wakali sana.
Leo kuna Argentina Vs Colombiq
Saa 7:00 usiku
Soma vizuri hapo juuWanaonyesha Chanel gan..
Siyo ya kukosa hii,ingawa utofauti wa masaa unanitesa.Leo kuna Argentina Vs Colombiq
Saa 7:00 usiku
Siyo ya kukosa hii,ingawa utofauti wa masaa unanitesa.
Mkuu mbona jukwaa la MABINGWA WA ULAYA huonekani hahahahahahahahah Kusalimiana ni Jambo heri tuSiyo ya kukosa hii,ingawa utofauti wa masaa unanitesa.
Leo kuna Argentina Vs Colombiq
Saa 7:00 usiku
Mkuu Argentina hana timu ya kumfunga ColombiaArgentina ndio mshindi
Argentina ndio mshindi
Mkuu Argentina hana timu ya kumfunga Colombia
Mkuu Argentina hana timu ya kumfunga Colombia
Rekodi zipo ili ziendelezwe au zivunjwe kwa mechi ya leo sioni Argentina akichomoka zaidi ya sareUkifuatilia last records utaona kuwa colombia hana record nzuri kwa Albiceleste
View attachment 1128070