Ndugu zangu tunaoendelea na tukaomba mikopo, naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Mimi binafsi niliapply moja kwa moja bodi kwa kuambatanisha fomu ya udahili na viambatanishi vyote vya kunitambulisha kuwa ni mwanachuo ninaeendelea. Sasa hapa kuna wale waliopitia chuoni na sisi tulioomba direct. Je, tulifanya sahihi kiutaratibu? Tusijekuwa tunasubiri mtumbwi air port. Ufafanuz plz
HAWA BOARD KIUKWELI WANAKERAAAA SANA.. KAMA MWESHIMIWA JPM KAJIZATITI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU wapate mikopo... Shidaaa ipooo kwaa hawa wazandiki wa heslb.... hizo pesaaa heslb sio as baba zenu bali ni jasho la Mtanzania...Ndugu zangu tunaoendelea na tukaomba mikopo, naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Mimi binafsi niliapply moja kwa moja bodi kwa kuambatanisha fomu ya udahili na viambatanishi vyote vya kunitambulisha kuwa ni mwanachuo ninaeendelea. Sasa hapa kuna wale waliopitia chuoni na sisi tulioomba direct. Je, tulifanya sahihi kiutaratibu? Tusijekuwa tunasubiri mtumbwi air port. Ufafanuz plz