Jamani Kingamuzi ndio kinakufa hicho, hii mara ya pili kingamuzi kinakata mawasiliano.
Wametangaza kwamba Eti wanahama toka mfumo wa Mkonga kwenda satellite, kwa hiyo muwe na subira, na hata hawasemi zoezi litachukua muda gani. Mbona DSTV na Azam wana Update softwares na hatujawahi sikia matangazo yanakataa?
hamia ZUKU au AZAM TV