masakafyuku
Member
- Jan 13, 2013
- 25
- 2
tsh. 10 milion tu.hili 20 ft ni sh ngap!?
tsh. milioni 20 tu.40ft HC bei gani?
Kontena tupu la futi arobaini high cube milioni ishirini?!!!tsh. milioni 20 tu.
ndiyo.Kontena tupu la futi arobaini high cube milioni ishirini?!!!
Mimi nina 20 ft bei yangu 5m...10 million 20ft, no way! Mkuu sikuvunji moyo, lakini kwa bei hiyo mimi napata 20ft tatu! Review your price, tafadhali!
Hizo container ni BRAND NEW hazijawahi kubeba chochote toka zitengenezwe au?! Hebu tuwekee picha za actual containers ulizonazo, nje, ndani na mlangoni.ndiyo.
Kama used bei yako bado iko juu, hiyo bei uliyoweka ni ya 40ft na chenji inabaki. fully documented.Mimi nina 20 ft bei yangu 5m...
Ni used but in very good condition, maelewano kwa serious buyer yapo..Kama used bei yako bado iko juu, hiyo bei uliyoweka ni ya 40ft na chenji inabaki. fully documented.
20ft tunauza kwa 3mil, kama upo tayari!Mimi nina 20 ft bei yangu 5m...
Ndio bei zake, UK 20 ft ni £800 na 40 ft ni £1200, tena wana kuletea hadi yadi ya kupakilia. Sasa £1200 ni kama mil 3, fanya ulipie mil 5 za urasimu bado ni hata 10m haifiki.Nakumbuka mwaka jana tulinunua Euro 800.00 + VAT kwa 20ft na Euro 1,400.00 + VAT kwa 40ft, nia sio kuharibu biashara yako ila hiy bei ni kubwa sana mkuu.