Consulting Associates Wanahitajika

Nawasihi watu kuwa makini,hakuna kampuni makini inayoweza kujitangaza kuajiri watu wenye digrii zao lakini ishindwe Kutumia email yenye specifications za campuni badala yake inatumia .....@gmail.com
 
Inawezekana kufanyia kazi remotely. Asilimia kubwa ya kazi zitakuwa remotely, ila baadhi ya kazi (na kama kuna ulazima) zitakuwa zikifanyika ofisini au kwa client's office.
Karibu.
Maana mimi nna kazi rasmi tayari ila nipo vizuri sana kwenye business plans writing, financial modelling, na market research.

Kwahiyo nataka just kupanua wigo wa kipato nje ya kazi.

Unaweza kuniweka kwenye pipeline, endapo ukiwa na kazi kwenye hayo maeneo niliyoainisha hapo.
 
Sawa, nimekuelewa vizuri. Naomba u-share nami contacts zako na taarifa fupi kuhusu wasifu wako.
Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…