Connection

scolastika

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,894
Reaction score
5,804
Sa hv connection ndo habar ya mjini japo bahat ya mtende inaeza kukukuta ila ndugu connection ndo kila kitu hata kaz hz nying zinazotangazwa bila connection utaishia kutuma maombi wakikitahd sana wakuite interview afu wakuache hewan,nakumbuka mwaka juz ilikuwa zilipotangazwa nafas za jeshi wakat wanaita interview kumbe wanaotakiwa kwenda wao washaanza mpaka kuchekiwa afya na mambo mengine connection Kaman
Sasa connection imekuwa connection kias kwamba kama hauna connection mwili wako unaeza usiifadhiwe kwenye jokofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…