CONFIRMATION CODE ARDHI UNIVERSITY

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Habari wakuu,
Jirani yangu amechaguliwa Ardhi university na IFM,hivyo akawa kwenye list ya wenye mutliple selection. Sasa taratibu zilisema atatumiwa confirmation code kwa njia ya simu au email, ili tuConfirm. Lakini hadi sasa hazijatumwa, na muda wakuConfirm unaisha kesho. Niko mkoani, nimejaribu kuwapigia simu Ardhi, toka jana hawapokei.Nimepiga simu TCU wananiambia niwasiliane na chuo husika. Je kuna mtu amepata tatizo kama hili, na amelisolve vipi?
Naombeni ushauri pia nini cha kufanya wakuu, kama kuna anayefahamu.
Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…