benbry Senior Member Joined Apr 3, 2012 Posts 183 Reaction score 55 Sep 22, 2013 #1 Ndugu zangu natafuta compressor washing machine kwa ajili ya kuoshea magari. Natafuta inayotumia petrol mana nilipo hakuna umeme. Mwenye nayo au anayejua zinapouzwa na bei yake naomba anijuze tafadhali. Asanteni.
Ndugu zangu natafuta compressor washing machine kwa ajili ya kuoshea magari. Natafuta inayotumia petrol mana nilipo hakuna umeme. Mwenye nayo au anayejua zinapouzwa na bei yake naomba anijuze tafadhali. Asanteni.