Kuwa social workerViongozi tusaidiane hapa
Nimepiga hii course pale Kilimanjaro ,Moshi cooperative University (MOCU )
Nimemaliza mwaka huu then nasubiri final results hapa.
Ila kuja hapa ni kutaka kupata mawanda mapana juu ya course hiyo
Kwanza mnisaidie kujua
Nijiweke angle ipi ya ajira?
Niwe based kweny ajira za namna gan?
Pia hata kama ni volunteering nijiweke katika sehem zipi?
Nafaham wazi hii course itanitaka kuitumikia jamii kwa asilimia kubwa,ila jamio ni pana mnoooo!!!
Karibuni
Viongozi tusaidiane hapa

Sio yeye Kuna thousands hawajui Destinations zaoUmesoma 3 yrs hujui hata unataka kuwa nani?