Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 790
Akikujibu maswali haya niite mkuuMe naomba majibu mafupi sana. Maswali ni haya:
1-Umewahi kuugua ugonjwa wowote wa akili ktk maisha yako!??
2-Umewahi kufanya jambo gani la kutumia akili liwe la kijamii au kifamilia(litaje jambo lenyewe) na lilifanikiwa!? Km halikufanikiwa kwa nn!??
3-Ukiacha matumizi ya I'd fake,unaweza kuniambia jinsia yako kwa uhakika,wewe ni ME/KE!??
4-Elimu uliyotaja uliyonayo umesema ni ya chuo na umesema ni tecnolojia,ni tecnolojia gani hiyo,ukinijibu ntarudi kukuuliza swali la fani uliyosoma ili kuthibitisha elimu yako. Kwa unavyoonyesha hujakanyaga hata ordinary level. Samahani lkn. Ntarudi...
kapige mswaki kwanzaWatu bwana, sasa kama umesoma na huelewi si ufungue nyuzi zingine usiumize akili yako? Kweli unapoteza precious time kusoma na kufuatilia kitu usichoelewa, utakuwa na UA(upungufu wa akili)
QUIGLEY wangu kwani wewe ulielewa?Hewa
Hahahhhbasi kumb na mm mzima ! nashindwa kuelewa kbs anachojibu! nikasema labda viwine kumbe hamna ! mhh ! hv nimekodoa mijicho natoka kapaaaaaaaaaaa
Alisema anajua lugha ipi?Mkuu huyu cocochanel alishawahi kusema hajui vizuri kiswahi. Mkuu Daby alimwuliza siku moja naye akajibu kuwa hayupo vizuri kwenye kiswahili.
Kipare labdaAlisema anajua lugha ipi?
HahahhahhahhKipare labda
Hao uliowataja pekee ndio wanapaswa kushiriki katika Interview hiyo?Good evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka kabisa,
Kukidhi kiu yenu!
Cocochanel atakuwa rasmi hapa
Saa kumi na mbili unusu.
Karibuni sana!
cc Transcend
Asprin
Lee empire
Young blood
Niyombire
Billy
Shunie
Numbisa
Sakayo
Emmnitya
Linamo
Carba
Stable woman
Ukhuty
Sergio
Beira
Welcome all!
Hapa ndyo umejibu swali?
[emoji15] [emoji15]
Alfu Eti huyu ni mwanamikakati wa CCM poleni sana Lumumba
Furaha na Amani kwa familia niliyozaliwa nikijumuisha na wanangu kwa juuuuuuuu.
Pia mengine machache kwenye maisha kama nimeapia au nimeingia kwa kuaminia niliyovutiwa nayo juu ya kilichopo itabidi.. kutokana na yalivyo
Ninachokiaminia na kuamini kipo.. hata uniletee nini nitalishikiria.. na pia mtu akiwa mbishi au anaongea nami basi tu juu ya jambo bila kuwa na facts zilizoenda shule au proof ya kweli.. huyo nitakula nae sahani moja..
Nasukumwa pia maishani na machale niliyobarikiwa na Mola na hayaniangushi.
I hope nimekujibu.
Amekosea wapi jamani,hicho ndio kiwango chake cha ufahamu,nadhani ni bora kujenga tabia za kuvumiliana Na kutofautiana pasipo kugombana.Mkuu DJ Sepetu umezingua Sana kumleta huyu Mwili nyumba-shati linafunika vits.. Mimi Hua Ni msomaji zaidi kwenye hii mikabala yako ILA hii imenichefua mno!
Maswali yangu hujayaona nirudie kukuuliza!!? Hebu nisaidie majibu basi bibie,maswali yapo comment number#193.
Tatu kati ya nilizonazo ni
- Nina nyota ya kupendwa na watu na wengine pia uonionea wivu na ninabahati ya kuwatambua haraka
- Mcheshi sana huwezi kuboreka ukiwa nami labda niamue kuuchuna. Nikiwa mahala lazima niache watu kunikumbuka kwa mazuri na kwa lolote lililojiri.
- Najiamini kwenye mengi na pia nikitaka iwe/kiwe namshukuru Mungu naonaga inakuwa.
Unaweza kukisoma ilichokiandika kwa usahihi?
Ikiwa unaandika pumba za ivi nikupinge kwa faida gan?