Bigirita nadhani upo sahihi,ila nikuombe kama upo tayari tuwasiliane kwa phone inorder to disclose all the material fact inorder to close the deal.
ina 3yrs barabarani.ya mwaka gani iliingia lini,i suggest is better uje eneo la tukio.
Hi wanajamii!
Kama ilivyoada napenda kutanguliza shukrani nawakaribuni
wahitaji wa Bus aina ya coaster-deluxe 1HZ,price 22millions Tshs,ipo barabarani as on the picture ila nimelazimika
kuuza lengo kubadili biashara.
serious buyers contact me +255713393142.Ubungo-kibangu
ciatNatoa Tamko: haya sema fastafasta ubovu wake.. ili atayenunua ajipinde kwenye msumari..
Inaonekana huyu ni dalali amezuiwa kupiga picha[emoji16]Bigirita nadhani upo sahihi,ila nikuombe kama upo tayari tuwasiliane kwa phone inorder to disclose all the material fact inorder to close the deal.
ina 3yrs barabarani.ya mwaka gani iliingia lini,i suggest is better uje eneo la tukio.
Natoa Tamko: haya sema fastafasta ubovu wake.. ili atayenunua ajipinde kwenye msumari..
Inaonekana huyu ni dalali amezuiwa kupiga picha[emoji16]
Namba ya usajili A,B,C D?