Waweke yawe usikuHaya mambo ya siku hizi yako hadharani mno ni kweli wakati mwingine yanatia aibu lkn tufanyeje sasa.Maradhi ndo hayo yametapakaa kila kona na kwa desturi zetu tunaenda pekupeku basi ndo maana hata hizo kinga zinatangazwa hadharani. Ushauri ukiona tangazo hilo toka nje kana kwamba umepigiwa simu au ita mtoto akulete kitu au fanya chochote ili kuondoa hiyo attention iliyokuwepo. Vinginevyo kama ma mkwe ni bingwa komaa hivyo hivyo naye si mtu tu kipi asichokijua na umri huo.
gharama za hayo matangazo ndo zinazofanya redio ziweze kujiendesha
Ukiwa dsm, redio zipo kibao. Kwa nini usigune PPR, WAPO FM, TUMAINI, na nyingine km hizo?Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.
Kabla foleni haijaisha limerudi tena ilibidi nihamishe na kuweka redio nyingine. Mnakera kwa kweli,huko nilikobadilisha nako ndo nasikia nyimbo mpya ya Diamond sijui ukimuona jongoo shika magoti inama kidogo nyimbo imejaa matusi ilibidi niizime redio.
Redio badilikeni wasikilizaji wa redio sio makahaba tuu.
kwani kuna tatizo ndugu mbonA fresh tu na ukiona wanaboa weka praisepower au Imaan huko hayo mambo hakunagA ni mwendo wa kupeanA khabari za mbinguni.Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.
Kabla foleni haijaisha limerudi tena ilibidi nihamishe na kuweka redio nyingine. Mnakera kwa kweli,huko nilikobadilisha nako ndo nasikia nyimbo mpya ya Diamond sijui ukimuona jongoo shika magoti inama kidogo nyimbo imejaa matusi ilibidi niizime redio.
Redio badilikeni wasikilizaji wa redio sio makahaba tuu.
Kawachape kibao , mama longtime mkuluLeo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.
Kabla foleni haijaisha limerudi tena ilibidi nihamishe na kuweka redio nyingine. Mnakera kwa kweli,huko nilikobadilisha nako ndo nasikia nyimbo mpya ya Diamond sijui ukimuona jongoo shika magoti inama kidogo nyimbo imejaa matusi ilibidi niizime redio.
Redio badilikeni wasikilizaji wa redio sio makahaba tuu.
Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.