Civil Engineers Wanahitajika..

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,194
Habari zenu. Future Group Company iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam, leo tarehe 14.3.2018 inawatangazia nafasi 5 za Civil Engineers. Elimu uwe na Bachelor Degree.

Kama una Kigezo Hicho na Ungependa kufanya Kazi na Sisi tunaomba ututumie CV yako kwenye Email ifuatayo: hrfbde@gmail.com

Website yetu ni www.fgc1998.com
 
Naona fursa hiyooooo!!!
Kama temple utatutapa lakin kama parmnt mmmh!! Ngojaaa niwachie tu
 
Unge specify mkuu, civil engineering ni kubwa!! Unataka watu wa structural, transport au water resource??

hili ndio la Msingi,maana tumeumia COET enzi hizo sasa afafanue wazi!Kuondoa Mkamganyiko
 
I smell something fishy here, wapi na wapi kampuni ilofikia hadhi ya group HR anatumia gmail!!!!!!! Na ukigoogle kampuni inaonekana ni retailing company iliyoko India, ila cha ajabu website yenyewe imeandikwa kichina tupu......

Nyie mtakua mnatafuta cv za kuweka kwenye company profiles zenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…