CISA ni professional certification kama ilivyo CPA (Certified Public Accountant) unakuwa mkaguzi mtaalum mwenye ujuzi wa juu wa kukagua mifumo na mahesabu unayetambulika..kwa CISA (Certified information systems auditor) haina tofauti na CPA, yenyewe tunakundisha skills na knowledge ya jinsi ya kukagua mifumo ya computer..ukizingatia organization nyingi zimetengeneza business process zinazoendeshwa na mifumo ya computer..kadri miaka inavyoenda data zote zitakuwa kwa mfumo wa elecronic, hivyo basi tunakufundisha jinsi ya kukagua mifumo ya compouter, inavyotunza records,, kama iko salama kwa maana ya integrity, comnfideniality ana availability ..tunakufundusha uwe na utaalam wa juu unaotambuliwa duniani katika kuhakiki usalama wa mifumo..kwa mfano chukulia bank kama CRDB, inamifumo ya kielectronic mingi,,imeunganishwa na mitandao ya simu mingi,, ina link na mabenki engine,, ina link na TRA, ,, inatunza data za wateja, hivi ulishawahi kujiluliza ikitokea watu wameiba hiyo server kutakuwa kwa records za wateja? fikiria online transaction unapofanya manunuzi kwa kutumia kadi, unadhani transaction hiyo iko salama. fikiria unapotuma tgopesa, unadhani muamala uko salama? hii ndo maana tunakufundisha wewe uwe mtaalam wa kukagua hayo yote na kutoa assurance kwa organisation kuwa kila kiko salama...kuhusu elimu inatakiwa angalau uwe na advanced diploma, kwani inahitaji mtu mwenye weredi wa kutosha .
Kama nitakuwa sijakutosheleza tafadhali niulize tena nitakujibu..