ndugu yangu mimi advanced level nilisoma PCM Mzumbe na Ilboru...nakumbuka ikafika kipindi wakati nasubiri kuingia chuo nilikiri kwamba hakuna msuli mgumu kama wa advanced level...lakini nilipofika chuo mwaka wa 3 pale CoET nikajua kwamba chuo ni balaa kwa maoni yangu nadhani ugumu wa msuli unadepend na course unayosoma
Ukienda huku na kule,mambo ni magumu zaidi chuo kuliko A-level,msuli inategemea wewe na kozi na pengine hata chuo ama lecturer.
LAKINI ELIMU ADVANCE NI NGUMU SANA.mazingira yenyewe ni magumu sana,huku vyuoni ni tofauti kuhusu mazingira.