History C
Kiswahili C
English D
Geography D
Civics D
Biology D
Chem F
Phyaics F
B/Maths F
Wadau tafadhali mnishauri kwa ufaulu huo naweza kwenda chuo gani?
Omba chuo cha ualimu Astashahada hakika utapata kulingana na matokeo yako acha kuvunjika moyo ww songa mbele kuna watu wanasoma ualimu vyeti vyao havina hata C sembuse ww mkuu,tena wahi kabisa kabla Nacte hajafunga Dirisha