Nimemaliza Elimu yangu Pale CBE 2007 Graduation ilikuwa 2008 eti mpaka leo huu mwaka wa 3 vyeti havijatoka sababu vinachapishwa Uingereza sasa sijui tunaelekea wapi? Ndio hicho kinachofanya chuo kinadharaulika kwa mambo madogo madogo kama hayo......Tupeni vyeti vyetu jamani manake tumefuatilia mpaka tumechoka manake inakuwa kama tunanunua vyeti.
Hivyo vyeti vinakuwa na security kama hela inaboa sana...watu wamepoteza nafasi za kazi kwa uzembe wenu. Wahusika fanyeni kazi kwa umakini acheni uzembe...
Jirekebisheni.